Klabu Liverpool imemuomba kocha Jürgen Klopp, kurejea klabuni hapo kwa muda ili kuchukua nafasi ya Arne Slot, aliyekalia kuti kavu kwa sasa.
Mshambuliaji wa Aston Villa, Donyell Malen, amepata jeraha kichwani baada ya kugongwa na kikombe katika mechi ya Europa ...
Hata hivyo, kumekuwa na vita kubwa mtandaoni kutoka makundi mawili tofauti ya klabu hiyo, kundi moja likionekana kuwa upande ...
MWANADADA anayefanya vizuri kwenye tamthilia ya Huba, Nasma Hassan Athumani ‘Nanadollz’ amewatolea uvivu mashabiki waache ...
WIKI hii Zuchu, staa wa Bongofleva kutokea WCB Wasafi ameweka rekodi nyingine kubwa kupitia muziki mara baada ya video zake ...
MSANII anayefanya vizuri katika tamthilia ya Kombolea, Farid Mohammed ‘Cholo Kobis’ amesema tamthilia hiyo imemtambulisha kwa ...
KUNA mfupa mgumu unaendelea kuwatesa mabeki wa kati wa kigeni pale Yanga katika kuutafuna. Ni takribani mwaka wa tatu sasa, uwepo wa Bakari Mwamnyeto, Dickson Job na Ibrahim Abdullah ‘Bacca’ ...
KIUNGO mshambuliaji wa JKT Tanzania, Said Ndemla amesema ugumu na ubora wa Ligi Kuu Bara ni chachu kwao kukuza viwango vyao ...
LIGI Kuu Bara inaendelea leo kwa mechi moja kupigwa Uwanja wa Lake Tanganyika, mjini Kigoma kwa wenyeji Mashujaa kuikaribisha Dodoma Jiji katika pambano la kisasi kutokana na rekodi za timu ...
ALIPOVAA jezi ya Yanga SC kwa mara ya kwanza, ndio ilikuwa ishara halisi kwamba safari ya mtaa ilikuwa imebadilika kuwa ...
Mzize anayeitumikia pia timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars alishinda tuzo hiyo kupitia bao aliloitungua TP Mazembe ya DR ...
Azam itawategemea mshambulaiji Jephte Kitambala ambaye tangu akiwa DR Congo baada ya kucheza dhidi ya AS Maniema alifanya kikao na Ibenge, akimnoa na kumpa mbinu jinsi ya kutulia na kurekebisha makosa ...