MAAFANDE wa Mashujaa ya Kigoma leo jioni ilishindwa kurejea kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu Bara baada ya kubanwa mbavu nyumbani na Dodoma Jiji na kutoka suluhu, huku kipa wa timu hiyo, ...
KWENYE maktaba ya majina ya makocha ambao hawakuwa na mafanikio makubwa katika Ligi Kuu England lakini wana heshima hadi sasa ...
KIGOGO wa Bayern Munich Max Eberl, amesema timu yake itahitaji zaidi ya Euro 100 milioni ili kumuuza winga wao wa kimataifa ...
LIVERPOOL ipo kwenye wakati mgumu wa kufanya uamuzi kuhusu kuwasilisha ofa Bournemouth dirisha lijalo la majira ya baridi ya ...
MECHI moja ya soka Bolivia, Bara la Amerika Kusini ilishuhudiwa wachezaji 17 wakitolewa nje kwa kadi nyekundu kutokana na ...
KOCHA wa Manchester United, Ruben Amorim yupo tayari kuruhusu wachezaji watatu kuondoka dirisha lijalo la usajili la Januari.
LICHA ya kuonyesha nia ya kuendelea kusalia Barcelona na kusaini mkataba wa kudumu, ripoti zinadai Paris Saint-Germain ...
WAKATI mechi za Ligi ya Championship zikitarajiwa kuendelea tena keshokutwa Jumapili, Stand United (Chama la Wana), baada ya kucheza mechi sita mfululizo bila kupata ushindi hatimaye ...
MBIVU na mbichi ya safu mpya ya uongozi ya Bodi ya Ligi (TPLB) itajulikana kesho Jumamosi, Novemba 29, wakati Mkutano Mkuu wa ...
MBIVU na mbichi ya safu mpya ya uongozi ya Bodi ya Ligi (TPLB) itajulikana kesho Jumamosi, Novemba 29, wakati Mkutano Mkuu wa ...
MWAKA ndiyo huooo unakatika! Ngoma zinazidi kupikwa na kuachiwa na kufanya vizuri kwenye vyombo vya habari na mitandaoni.
Akizungumza na Mwanaspoti katika mahojiano maalumu, Karabaka amefichua maisha yake kisoka Simba na kuweka bayana aliyemng’oa ...